Kombe la mapinduzi Zanzibar ni jeuri, dharau au kutojielewa kwa waandaaji?

BIG BROTHER ALEX

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2025
Posts
1,293
Reaction score
2,265
Waliitisha press, wakasema kombe la mapinduzi kuanzia Sasa ni la kimataifa, wakimanisha zitakazo shindana ni nchi na nchi, sio klabu za kawaida.

Tukasema sawa, akaitwa Burkina Faso, Uganda, Kenya, Burundi japo wengine walilikataa wakajitoa, haya likafanyika, Zanzibar heroes sijui ni nchi ya wapi ikabeba.

Leo hii tunarisubili kwa hamu mara tena JKU, sijui,KVZ, mlandege, Azam nk, kuweni na ustarabu basi afcon si kisingizio mana, si Kila nchi imeshiriki, tunakoseana sana kwani huu utaratibu uliwekwa na nani? Hizi ni dharau kwa watz mnajifanyia mambo yenu bila utaratibu wa kudumu, ni kipi muafrika anakiweza? Watu tunachoma nauli kutoka mbali kuja kwenye haya mashindano mara tunakuta utaratibu mwingine, mnajifanyia TU mtakavyo WHO ARE YOU,

Kwa huu utaratibu nyie mkipata uongozi caf siku moja afcon mtataka zicheze al ahly, na mamelod,Simba nk sababu hatujui kupanga mipango ya muda mrefu, ni kheri mnge hairisha kama Kuna dharura.
 
Kwa timu za taifa kombe lilipoteza ushawishi hivyo wamerudi kwa kushindanisha klabu
 
Na mtu yeyote anayeshabikia CCM eidha chawa ni agent wa terrorism kwa hiyo tuna mtambua kama terrorist
 
Ukiita timu za taifa ukaziacha Simba na Yanga Totally unajikosesha mapato wewe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom