BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
Bongo kila kitu chenga tu
Kwa timu za taifa kombe lilipoteza ushawishi hivyo wamerudi kwa kushindanisha klabuWaliitisha press, wakasema kombe la mapinduzi kuanzia Sasa ni la kimataifa, wakimanisha zitakazo shindana ni nchi na nchi, sio klabu za kawaida.
Tukasema sawa, akaitwa Burkina Faso, Uganda, Kenya, Burundi japo wengine walilikataa wakajitoa, haya likafanyika, Zanzibar heroes sijui ni nchi ya wapi ikabeba.
Leo hii tunarisubili kwa hamu mara tena JKU, sijui,KVZ, mlandege, Azam nk, kuweni na ustarabu basi afcon si kisingizio mana, si Kila nchi imeshiriki, tunakoseana sana kwani huu utaratibu uliwekwa na nani? Hizi ni dharau kwa watz mnajifanyia mambo yenu bila utaratibu wa kudumu, ni kipi muafrika anakiweza? Watu tunachoma nauli kutoka mbali kuja kwenye haya mashindano mara tunakuta utaratibu mwingine, mnajifanyia TU mtakavyo WHO ARE YOU,
Kwa huu utaratibu nyie mkipata uongozi caf siku moja afcon mtataka zicheze al ahly, na mamelod,Simba nk sababu hatujui kupanga mipango ya muda mrefu, ni kheri mnge hairisha kama Kuna dharura.
Kaka mi ni scout wa vipaji hi ni sehemu ya Kaz yanguUko serious kabisa unasema una hamu ya kuangalia hayo mashindano au uko unatalii Zanzibar
Si kweli, na kombe la muungano?Kwa timu za taifa kombe lilipoteza ushawishi hivyo wamerudi kwa kushindanisha klabu
Na mtu yeyote anayeshabikia CCM eidha chawa ni agent wa terrorism kwa hiyo tuna mtambua kama terroristWaliitisha press, wakasema kombe la mapinduzi kuanzia Sasa ni la kimataifa, wakimanisha zitakazo shindana ni nchi na nchi, sio klabu za kawaida.