Kombe la Mapinduzi, Zanzibar: Simba SC 1-0 Mlandege

University_Promo

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
749
Reaction score
661
Habari members!!!
Dakika 90 zimeisha kati ya Simba SC na Mlandege uku Simba akiibuka kidedea kwa ushindi wa Goli Moja dhidi ya Mlandege nao wakiambulia Patupu(Sifuri).
Goli likifungwa na Haruna Niyonzima katika kipindi cha kwanza dakika ya 21.
Uku Haruna Niyonzima akiibuka mchezaji bora katika mechi hiyo ya Simba na Mlandege.
Hongera Simba SC!!!!
 
Naunga mkono hoja , lakini Adam Salamba kiwango chake ni kidogo sana, anakosa magoli mpaka huamini. Sina imani kama anaweza kutusaidia mbeleni.
 
Anatofauti gani na BOKO? Mikia Boko mzuri ila mngekuwa na hela mngenunua straiker na siyo dancer Zana sijui Zena yule mmepigwa
 
Back
Top Bottom