University_Promo
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 749
- 661
Habari members!!!
Dakika 90 zimeisha kati ya Simba SC na Mlandege uku Simba akiibuka kidedea kwa ushindi wa Goli Moja dhidi ya Mlandege nao wakiambulia Patupu(Sifuri).
Goli likifungwa na Haruna Niyonzima katika kipindi cha kwanza dakika ya 21.
Uku Haruna Niyonzima akiibuka mchezaji bora katika mechi hiyo ya Simba na Mlandege.
Hongera Simba SC!!!!