University_Promo
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 749
- 661
Naunga mkono hoja , lakini Adam Salamba kiwango chake ni kidogo sana, anakosa magoli mpaka huamini. Sina imani kama anaweza kutusaidia mbeleni.Habari members!!!
Dakika 90 zimeisha kati ya Simba SC na Mlandege uku Simba akiibuka kidedea kwa ushindi wa Goli Moja dhidi ya Mlandege nao wakiambulia Patupu(Sifuri).
Goli likifungwa na Haruna Niyonzima katika kipindi cha kwanza dakika ya 21.
Uku Haruna Niyonzima akiibuka mchezaji bora katika mechi hiyo ya Simba na Mlandege.
Hongera Simba SC!!!!
Anatofauti gani na BOKO? Mikia Boko mzuri ila mngekuwa na hela mngenunua straiker na siyo dancer Zana sijui Zena yule mmepigwaNaunga mkono hoja , lakini Adam Salamba kiwango chake ni kidogo sana, anakosa magoli mpaka huamini. Sina imani kama anaweza kutusaidia mbeleni.
Huyu no 2 mpya hata mm machale yameanza kunicheza! Sijui kachukua mkataba wa muda gani?Anatofauti gani na BOKO? Mikia Boko mzuri ila mngekuwa na hela mngenunua straiker na siyo dancer Zana sijui Zena yule mmepigwa
Miaka 5,miwili ya kucheza mpira 3 ya kucheza dance mwimbaji akiwa MinaraHuyu no 2 mpya hata mm machale yameanza kunicheza! Sijui kachukua mkataba wa muda gani?
Huyo mmepigwa aisee,sasa yeye mlimleta kuziba pengo la kapombe leo mmemuacha zenji๐๐๐Huyu no 2 mpya hata mm machale yameanza kunicheza! Sijui kachukua mkataba wa muda gani?
Bora kapombe apone haraka huyu jamaa wakati wowote penati.Huyo mmepigwa aisee,sasa yeye mlimleta kuziba pengo la kapombe leo mmemuacha zenji๐๐๐
Hana uwezo huo ambao Hajji alikuwa anadanganya ummaBora kapombe apone haraka huyu jamaa wakati wowote penati.