Kombe la Muungano Mufindi Limepotelea Wapi?

Kombe la Muungano Mufindi Limepotelea Wapi?

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Kipindi cha Nyuma kulikua na Mashindano ya Kombe la Muungano Mufindi yakiwa yanafanyika Mji wa Mufindi na kushirikisha timu nyingi kutoka Nyanda za Juu Kusini

Ila baadaye yakaanza kushirikisha pia timu kutoka Tanzania Visiwani,Mashindano hayo yaliyokua yakiratibiwa na Ndugu Daudi Yasin yalikua na Mvuto wake na pia kufanikiwa kuibua baadhi ya Wachezaji ambao walikuja kuwika Ligi kuu ya Tanzania

Ila kwa miaka kadhaa sijayasikia tena haya Mashindano...

Ndo kusema muda wake ulikwisha au?
 
Daa ndo yangekua msaada kwa Taifa stars kupata wachezaji
 
Back
Top Bottom