Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
simba sc nayo timu. tunazungumzia ndondo cup
Umesomeka Mkuu, tuko pamoja sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
simba sc nayo timu. tunazungumzia ndondo cup
Umesomeka Mkuu, tuko pamoja sana.
Mimi nilikuwa nawashabikia KAUZU FC na yule ustaadh wao
View attachment 284409
mdhamini wa michuano ya ndondo cup, dk mwaka (kushoto) akimkabidhi kombe la ubingwa wa michuano hiyo, nahodha wa faru jeuri, buji selemani mara baada ya timu yake kuishinda kauzu fc, leo.
kombe hilo la ndondo cup, michuano maarufu ya mchangani kwa kipindi hiki ni zuri na kubwa na inawezekana lina thamani kubwa kuliko lile la ligi kuu tanzania bara, ambalo walikabidhiwa yanga pia lile la kagame ambalo walipewa azam fc kwenye michuano ya kombe la kagame. Jambo ambalo ni sawa na maajabu ya nane ya dunia.
Chama langu Kauzu Fc limeniangusha ila poa tu.