Kombe la Robo fainali, hivi huwa lina medali?

Kombe la Robo fainali, hivi huwa lina medali?

Kilimbatzz

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2023
Posts
9,134
Reaction score
14,593
Kuna timu tangu maisha ya soka yaanze hapa bongo wameishia kugota hatua ya Robo Fainali.

Asikuambie mtu!

Hakuna kitu wanalingia kama hiyo hatua year in year out. Ningependa Leo nionyeshwe medali au silverware inavyopewa timu baada ya kutinga hatua hiyo?
 
Aya ya kushangilia vitu vidogo ambavyo havina maana ndio yanayo sababisha tushindwe kuchukua hatua stahiki za kisayansi kuweza kubeba vikombe vya Africa.
Mkuu tena baada ya kuona dalili za watani zao kufuta rekodi zote walioweka na kuchoma vyote walivyokuwa wanajifichiamo basi wamewehuka

Kiki za kimataifa tushazizika

Imebaki Kiki ya CL nayo tunaenda ifunika

Kombe la Robo Fainali nalo si muda tunalifunika

Hawana kikombe Wala medali ila kelele zao sasa
 
Ahahaaaa
Wewe unasema unaishia Robo Fainali tunakwambia Mwaka 1993 Simba ilicheza FAINALI huelewi!!!!

Ilivaa medali ya Mahindi wa pili.
Haikuchukua Kombe.

Nikajua kombe
Hivi mlicheza fainali ya kombe Gani vile mkuu!?
 
Ahahaaaa

Nikajua kombe
Hivi mlicheza fainali ya kombe Gani vile mkuu!?

FICHA UJINGA Mzee....

Uzi wako ni WA HOVYO SANA kuwa hapa Jukwaani.

Siku nyingine andika propasl nini kifanyike Tanzania Tucheze KOMBE LA DUNIA.

Punguza kuwaza u Simba na u yanga.

WATOTO WA MATAJIRI WANASOMA NA KUPANDISHWA VYEO WATOTO WENZANGU NA MIMI KUTWA SIMBA NA YANGA........
 
Ilikuwa fainali ya Kombe la washindi ambalo siku hizi halipo,lilianzishwa na mfanyabiashara Moshood Abiola wa Nigeria.
Aahahaaaj

Mkuu Asante Kwa ufafanuzi

Mi nikajua na shirikisho walishatinga fainali

Kumbe lilikuwa kombe la bonasi
 
Kuna timu tangu maisha ya soka yaanze hapa bongo wameishia kugota hatua ya Robo Fainali.

Asikuambie mtu!

Hakuna kitu wanalingia kama hiyo hatua year in year out. Ningependa Leo nionyeshwe medali au silverware inavyopewa timu baada ya kutinga hatua hiyo?
Kuna timu pia ilishawahi kucheza fainali
 
Back
Top Bottom