Kombe la Robo fainali, hivi huwa lina medali?

Kombe la Robo fainali, hivi huwa lina medali?

Muendelezo wa mada za kijinga Jf..ili mradi tu mbishashane. Very sad,jaribuni kupitia forums zingine maarufu duniani kama QUORA. Muone mada zinazo jadiliwa kule, vijana mtajifunza jambo.
 
Mi bado najiuliza Super Cup tutacheza na nani binafsi ningependa nicheze na Mamelody au Raja
 
Sasa unafikaje hatua za nusu fainali au fainali bila kufika robo fainali.?..mafanikio ni mchakato mzee! Hebu fikiria africa ina timu ngapi za mpira.? Katika timu nane bora na hao unaowasema hapa nao wamo! Unadhani walifika hapo kwa bahati.? Ni suala la muda tu..!
 
Kuna timu tangu maisha ya soka yaanze hapa bongo wameishia kugota hatua ya Robo Fainali.

Asikuambie mtu!

Hakuna kitu wanalingia kama hiyo hatua year in year out. Ningependa Leo nionyeshwe medali au silverware inavyopewa timu baada ya kutinga hatua hiyo?
Hapana ila unaongeza point za ubora na kuvuta mpunga,mfn Yanga walikuwa nafasi ya 75 kabla ya robo, baada ya kutinga robo fainali sasa ni 20 bora kwa virabu africa, kupeleka timu kutinga robo fainali nibonge la promotion sana hata kama amna medali au kombe.
 
Robo fainali ni hatua mojawapo kuelekea nusu , fainali na kisha bingwa. Huwezi kuchukua kombe bila kupitia robo fainali.

Wale wajinga tu aliowasema Manara ndiyo hawaamini kwamba robofainali ni mafanikio kwa klabu.
Ndiyo Maana hata utopolo kuingia robo mwaka tena kombe losers wameshangilia kama mataahira vile. We unafikiri kwanini uto wanafurahi kuingia robo kama siyo mafanikio?

Ama kweli Manara na Luc Eymael wanastahili kujengewa Manara katikati ya jengo la wanautopolo.
 
Hoja yako kombe au medali? Timu ikicheza fainali inapata medali na Simba mwaka 1993 ilipata medali ilipocheza fainali hivyo swali lako na hoja yako dhaifu imepata jibu.
Fainali ya kombe Gani!?
 
Kuna timu tangu maisha ya soka yaanze hapa bongo wameishia kugota hatua ya Robo Fainali.

Asikuambie mtu!

Hakuna kitu wanalingia kama hiyo hatua year in year out. Ningependa Leo nionyeshwe medali au silverware inavyopewa timu baada ya kutinga hatua hiyo?
ngoja wenye kujua kazi hizi young africans tuwaoneshe makolo timu ya mpira wa miguu inatakiwa i-achieve nini kwenye michuano mikubwa
 
Kwa kweli, they need to step up wachukue kikombe ndio wapate medali
 

Attachments

  • BBCFC80A-DAF5-418B-811B-3750A95FB8D4.jpeg
    BBCFC80A-DAF5-418B-811B-3750A95FB8D4.jpeg
    98.1 KB · Views: 1
Back
Top Bottom