Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Mkuu tena baada ya kuona dalili za watani zao kufuta rekodi zote walioweka na kuchoma vyote walivyokuwa wanajifichiamo basi wamewehukaAya ya kushangilia vitu vidogo ambavyo havina maana ndio yanayo sababisha tushindwe kuchukua hatua stahiki za kisayansi kuweza kubeba vikombe vya Africa.
Ilichukua kombe!!?Simba ilicheza FAINALI MWAKA 1993.
Jamii forum kutoka great thinkers MBAKA kuwa na Nyuzi mbovu kiasi hiki.
Pole sana Jamii forum.
Ilichukua kombe!!?
Wanamdhulumu sana yule mzee , sijui kwanini wanachelewa kumjengea mnara wake.Mashabiki wa simba wengi wao ni mbumbumbu. Na hii siyo kauli yangu. Ni kauli ya mwenyekiti wao mstaafu.
Ilichukua kombe!?Ilicheza fainali
Tupo tayari kuchangia ujenzi wakeWanamdhulumu sana yule mzee , sijui kwani wanachelewa kumjengea mnara wake.
Ilichukua kombe!?
Wewe unasema unaishia Robo Fainali tunakwambia Mwaka 1993 Simba ilicheza FAINALI huelewi!!!!
Ilivaa medali ya Mahindi wa pili.
Haikuchukua Kombe.
Ahahaaaa
Nikajua kombe
Ahahaaaa
Nikajua kombe
Hivi mlicheza fainali ya kombe Gani vile mkuu!?
Ilikuwa fainali ya Kombe la washindi ambalo siku hizi halipo,lilianzishwa na mfanyabiashara Moshood Abiola wa Nigeria.Ahahaaaa
Nikajua kombe
Hivi mlicheza fainali ya kombe Gani vile mkuu!?
AahahaaajIlikuwa fainali ya Kombe la washindi ambalo siku hizi halipo,lilianzishwa na mfanyabiashara Moshood Abiola wa Nigeria.
Kuna timu pia ilishawahi kucheza fainaliKuna timu tangu maisha ya soka yaanze hapa bongo wameishia kugota hatua ya Robo Fainali.
Asikuambie mtu!
Hakuna kitu wanalingia kama hiyo hatua year in year out. Ningependa Leo nionyeshwe medali au silverware inavyopewa timu baada ya kutinga hatua hiyo?
Fainali ya nini bosi!?Kuna timu pia ilishawahi kucheza fainali
Inamaana mbumbumbu hawajawahi cheza fainali yoyote huko kimataifa?Mashabiki wa simba wengi wao ni mbumbumbu. Na hii siyo kauli yangu. Ni kauli ya mwenyekiti wao mstaafu.
RedeFainali ya nini bosi!?