Kombe la Shirikisho Africa: Gor Mahia yaifunga Yanga kwa magoli 4-0

Kombe la Shirikisho Africa: Gor Mahia yaifunga Yanga kwa magoli 4-0

Goli 4 kwa yai. Goli 4 kwa gurudumu. Goli 4 kwa duara. Goli 4 kwa zero. Goli 4 kwa sinia...embu nisaidieni jamanini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wasomali kama kawaida yao tatizo ni pale tu wanapong'ania kuishi bongo wakati nchi yao inawahitaji warudi
 
Goli 4 kwa yai. Goli 4 kwa gurudumu. Goli 4 kwa duara. Goli 4 kwa zero. Goli 4 kwa sinia...embu nisaidieni jamanini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Goli 4 Kwa Raundiabauti
Goli 4 Kwa Mtungi
Goli 4 Kwa Bashite
 
Ni Aibu kubwa
Mtu unajitoa Kagame ili kujiandaa na mechi za kimataifa
unaenda kutuaibisha kama Taifa!!
Manji alivyopewa makesi kibao ya uongo haikuwa aibu ya Taifa..aarrggg
 
Goli 4 kwa yai. Goli 4 kwa gurudumu. Goli 4 kwa duara. Goli 4 kwa zero. Goli 4 kwa sinia...embu nisaidieni jamanini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Naona mikia mnajifarijj Kwa kukosa Kagame
 
Yanga kwa sasa hatuko vizuri,

Kama inawezekana tuiombe tff mwaka huu tupumzike na ligi ili tupate mda wa kutosha kujiandaa hadi mwakani tutakuwa ni moto. ..
 
Naona Mikia mnajifariji kwa kukosa Kagame

Kwahiyo Nyinyi Munalo hilo Kagame au? Nadhani Umesahau Kuwa SimbaSC Tayari ina Kombe Moja Mkononi la [HASHTAG]#VPL[/HASHTAG] msimu huu wakati Nyinyi Munajifuta Mavumbi tu.
 
Walichokikwepa Kagame wameenda tena kukutana nacho.

Kweli Dunia duara.
 
Back
Top Bottom