Goli 4 kwa yai. Goli 4 kwa gurudumu. Goli 4 kwa duara. Goli 4 kwa zero. Goli 4 kwa sinia...embu nisaidieni jamanini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Manji alivyopewa makesi kibao ya uongo haikuwa aibu ya Taifa..aarrgggNi Aibu kubwa
Mtu unajitoa Kagame ili kujiandaa na mechi za kimataifa
unaenda kutuaibisha kama Taifa!!
Bwihi[emoji3][emoji3][emoji3] tubakishe kwa ajili mechi ya marudiano mkuu [emoji720][emoji720]Goli 4 Kwa Raundiabauti
Goli 4 Kwa Mtungi
Goli 4 Kwa Bashite
Naona mikia mnajifarijj Kwa kukosa KagameGoli 4 kwa yai. Goli 4 kwa gurudumu. Goli 4 kwa duara. Goli 4 kwa zero. Goli 4 kwa sinia...embu nisaidieni jamanini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Naona Mikia mnajifariji kwa kukosa KagameGoli 4 Kwa Raundiabauti
Goli 4 Kwa Mtungi
Goli 4 Kwa Bashite
Naona Mikia mnajifariji kwa kukosa Kagame
Nne kwa BashiteGoli 4 kwa yai. Goli 4 kwa gurudumu. Goli 4 kwa duara. Goli 4 kwa zero. Goli 4 kwa sinia...embu nisaidieni jamanini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]