Kombe la Shirikisho Africa: Yanga yapata ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Welayta Dicha

Ugonjwa timu za kibongo ni ule ule, tunashindwa kuutumia vyema uwanja wa nyumbani.
Sitoshangaa kuiona Yanga hii ikikosa kusonga mbele hatua inayofata.
 
Guuud mungu tusimamie......... Kama nawaona pool table FC wanavyoumia...... Vumilieni tu bandugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…