Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Wolaitta siyo wa kubezwa.Wanajiamini na wameipa Yanga heshima wanayostahili since day one walipopangiwa na Yanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana...tupo pamoja.Usijali. Kabisaaaaa ndio sisi pekee tuliobakia. [emoji23] [emoji23]
Sawa mtani karibu.Ahsante sana...tupo pamoja.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji109]Sawa mtani karibu.
Hako la team ni ka nchi gani?Welayta Dicha piga hao vyura fc
Wahabeshi hao mkuu.Hako la team ni ka nchi gani?
I mean Ethiopians.Wahabeshi hao mkuu.
Waombee dua njema mkuu.Wakishinda au wakishindwa, tusiokuwa Yanga hatupungukiwi na chochote.Ugonjwa timu za kibongo ni ule ule, tunashindwa kuutumia vyema uwanja wa nyumbani.
Sitoshangaa kuiona Yanga hii ikikosa kusonga mbele hatua inayofata.
Tumeongeza mtani.Waombee dua njema mkuu.Wakishinda au wakishindwa, tusiokuwa Yanga hatupungukiwi na chochote.
Tuwaombee mabaya kwenye VPL.
Wamejitahidi, wameongeza goli.Waombee dua njema mkuu.Wakishinda au wakishindwa, tusiokuwa Yanga hatupungukiwi na chochote.
Tuwaombee mabaya kwenye VPL.
Leo sijakuonaaaa...hongereni sana.Naona leo mmekunywa maji ya wapi sijui.Tumeongeza mtani.
Sawa...!Wamejitahidi, wameongeza goli.
Siwaombei dua mbaya ila nilikuwa najaribu kuelezea matatizo ya timu zetu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Guuud mungu tusimamie......... Kama nawaona pool table FC wanavyoumia...... Vumilieni tu bandugu
Hahahaaa. Nipo.Leo sijakuonaaaa...hongereni sana.Naona leo mmekunywa maji ya wapi sijui.