Hahahaaaa. Waumie tu kwa leo.Guuud mungu tusimamie......... Kama nawaona pool table FC wanavyoumia...... Vumilieni tu bandugu
Nashukuru kuona kuwa upo...lakini siyo kawaida.Hahahaaa. Nipo.
Yaani sijui yatakuwa ya wapi maji sababu hizi ni zaidi ya Salamu kwenu Mtani kwa tarehe 29.04.2018.
Jamani jamani jamani...mmezoea zogoeeeeee.Hahahaaaa. Waumie tu kwa leo.
Dk ya 77 Yanga anaongoza kwa bao 2 kwa 0Dakika ya ngapi na matokeo yapoje?
Hahahaaaaaaa. LolJamani jamani jamani...mmezoea zogoeeeeee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo rahiiisiDk ya 77 Yanga anaongoza kwa bao 2 kwa 0
Usikimbie bhana,nakutania tu.Hahahaaaaaaa. Lol
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kabisaaaa yaaani. Full kichekoLeo rahiiisi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hongereni sana...you've killed the game.Kabisaaaa yaaani. Full kicheko
Hongereni watani kwa kuifunga timu kibonde, ambayo imeundwa mwaka 2009(siyo kupanda daraja).
Sare ndo zimetutoa siyo kufungwa,hiyo mechi mnayocheza leo ni baada ya kudunguliwa na makhirikhiriTimu iliyoundwa 2009 bado ipo inashiriki kombe la shirikisho ila Mikia iliyoundwa miaka lundo wamenyoosha mikono juu.
Km green warriorsHongereni watani kwa kuifunga timu kibonde, ambayo imeundwa mwaka 2009(siyo kupanda daraja).
Aisee wembe kwa kisu...umemaliza.Sare ndo zimetutoa siyo kufungwa,hiyo mechi mnayocheza leo ni baada ya kudunguliwa na makhirikhiri
Singida vs YangaTimu iliyoundwa 2009 bado ipo inashiriki kombe la shirikisho ila Mikia iliyoundwa miaka lundo wamenyoosha mikono juu.
zamalek kafa kwa hawa jamaa..anyway kwaherini sisi ndo tunaelekea kunako makundiHongereni watani kwa kuifunga timu kibonde, ambayo imeundwa mwaka 2009(siyo kupanda daraja).