Kombe la Shirikisho Africa: Yanga yapata ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Welayta Dicha

Kombe la Shirikisho Africa: Yanga yapata ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Welayta Dicha

Hongereni watani kwa kuifunga timu kibonde, ambayo imeundwa mwaka 2009(siyo kupanda daraja).
 
Hahahaaa. Nipo.

Yaani sijui yatakuwa ya wapi maji sababu hizi ni zaidi ya Salamu kwenu Mtani kwa tarehe 29.04.2018.
Nashukuru kuona kuwa upo...lakini siyo kawaida.



Tarehe 29.04.2018, tuombe uhai kazi tumeshamaliza.Ubingwa uleeeeeeeeeeeeee...!
 
Timu iliyoundwa 2009 bado ipo inashiriki kombe la shirikisho ila Mikia iliyoundwa miaka lundo wamenyoosha mikono juu.
Sare ndo zimetutoa siyo kufungwa,hiyo mechi mnayocheza leo ni baada ya kudunguliwa na makhirikhiri
 
sidhani kama Kuna mikia itatia mguu hapa......wao wako na Yutong wanaenda kula miwa morogoro sisi tunapaki mabegi next week Ethiopia,,,,,,, MAISHA HAYAKO FEA
 
Back
Top Bottom