Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Yupo yupo nadhaniHivi huyu swahiba na mwanayanga mwenzangu yupo wapi siku hizi?
yuko vizuriA.k.a Yanga kindakindaki.
Kweli kabisa nami nina imani hiyo pia rafiki.Kama tumeanza hivi. Naamini marudiano tunaenda kufanya vizuri bila shaka.
mission failedWelayta Dicha piga hao vyura fc
Hahaaa. Ahsante sana Ses.Mi leo sitii neno nasubiria mechi ya marudiano maana mechi hiyo ndio muamuzi, ila kwa leo hongereni
Nimeshamuona tayariYupo yupo nadhani
Goli la Yanga Dar alifunga ChirwaTatizo timu za Tanzania siku zote kiwango hakipandi sababu wanadhamini wachezaji WA nje wakati Tanzania Ina vipaji vingi.wafungaji wote mechi ya jana Ni WAtanzania.
wachezaji WA nje wanachukua ela Tu hawana jipya wangekuwa na jipya wangeenda south Africa,north Africa au europe.
mechi ya yanga v Botswana wachezaji WA nje walikuwa wanakimbia Tu bila mbinu yoyote magoli hawafungi.
Na mm uwe una.ntag
Sawa Baba Swalehe. Usijali kabisaaaNa mm uwe una.ntag