Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Yanga vs Vibonde FCNdio Mkuu Yanga lia lia Teh teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga vs Vibonde FCNdio Mkuu Yanga lia lia Teh teh
Jipigieni leo.Hahahaaa. Umeonaeee.
Vibonde tena. [emoji15] [emoji15]Yanga vs Vibonde FC
Vibonde wanamfunga zamalekVibonde tena. [emoji15] [emoji15]
Sio vibonde bwana.
Msiruhusu wapate goli...!Karibu Shoga. Tunawapeleka puta Wapinzani wetu lakini magoli ndio hayataki kuingia.
Tunaenda kwenye grp stage..bila kusahau milion mia sita kwa kuvuka this stageBaada ya hawa inakuwaje?
Hahaaaa. Kila nikiangalia sio vibonde hawa jamaa aiseee.Vibonde wanamfunga zamalek
Teh teh...sawa bibie nimefuta kauli.Vibonde tena. [emoji15] [emoji15]
Sio vibonde bwana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jipigieni leo.
Matuta hayana mwenyewe.Vibonde wanamfunga zamalek
Hapo sawa. Na wametukosa kosa hapa acha tu yaani.Teh teh...sawa bibie nimefuta kauli.
Wapo vizur mnooHahaaaa. Kila nikiangalia sio vibonde hawa jamaa aiseee.
Zamalek wapo hovyo tangu 2011 wame drop sanaVibonde wanamfunga zamalek
Sio kwa kias hicho...Zamalek wapo hovyo tangu 2011 wame drop sana
Ahsante kwa kunisamehe....now tunashangilia timu yetu.Yanga ndiyo wawakilishi pekee kimataifa hapa Tanzania kwa sasa.Hapo sawa. Na wametukosa kosa hapa acha tu yaani.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Half time Yanga 1 - Wolaitta Dicha 0
Usijali. Kabisaaaaa ndio sisi pekee tuliobakia. [emoji23] [emoji23]Ahsante kwa kunisamehe....now tunashangilia timu yetu.Yanga ndiyo wawakilishi pekee kimataifa hapa Tanzania kwa sasa.