Powa tu upo? Angalau tumepita... tumshukuru Ngassa wetu.
Mkamsaidie kulipa deni sasa sio kumuita Ngasa wenu wakati mwenzenu yuko strained na anakaribia kupata depression.Powa tu upo? Angalau tumepita... tumshukuru Ngassa wetu.
Mtakutana na Platinum ya Zimbabwe au Sofapaka ya Kenya, sijajua timu ipi imeshinda.Wakuu, nimerefer to kuwa walete wamisri lkn ratiba ya caf clubs champions kwenye nukuzi yangu siioni. Niliongea kwa furaha tu. Nijuzeni anafata Nani tuanze kumla sasa?
Tunashukuru sana! Jirani zetu hawajashiriki mashindano ya kimataifa miaka kadhaa sasa wanaona wivu.
Mkamsaidie kulipa deni sasa sio kumuita Ngasa wenu wakati mwenzenu yuko strained na anakaribia kupata depression.
Hahahaaa, wivu na hasira juu.Sijui wake zao na hawa jamaa wana hali gani huko majumbani! Naona kosa dogo tu mtu anatoa kipondo kikali..lol
Mtakutana na Platinum ya Zimbabwe au Sofapaka ya Kenya, sijajua timu ipi imeshinda.
platinum ya zimbabwe ndio wamepitaMtakutana na Platinum ya Zimbabwe au Sofapaka ya Kenya, sijajua timu ipi imeshinda.
Hahahaaa, depression anayo Ngassa au nyie?
Platinum wanaweza kuwa wazuri kuliko hawa Makhirikhiri.platinum ya zimbabwe ndio wamepita
Mambo princess??
Mkuu Masuke nashukuru kwa taarifa. Najua haya mambo sasa yanatuleta km taifa. Mkuu Masuke, kwa tafiti ndogo iliyofanyika na wataalamu niwajuao Mimi ni kuwa sasa toka rasimu ya Mhe Jaji J S Warioba ichakachiluliwe na akina Mama Asha Bakari na Asumpta Mshama, Watanganyika na Wazanzibari wanajielewa mbayaaaaaaa. Mfano ni huu wa watz wote bila kujali usimba kuwapa sapoti Yanga. Huo ndo utaifa uliosemwa na Jaji Warioba. Nimeongea kwa furaha.
Hongereni Yanga. Maana ingekua aibu mno kwetu watz kutolewa na katimu ka nchi isiyokuwa na historia ya mpira.
Kumbe wamepita kwa taaaaaaaaabu!
Kumbe wamepita kwa taaaaaaaaabu!
sio taabu hata 3-1 bado yanga wangepita