Kombe la Shirikisho Afrika: BDF XI vs Yanga [27 Feb 2014]

Wakuu, nimerefer to kuwa walete wamisri lkn ratiba ya caf clubs champions kwenye nukuzi yangu siioni. Niliongea kwa furaha tu. Nijuzeni anafata Nani tuanze kumla sasa?
 
Mtakutana na Platinum ya Zimbabwe au Sofapaka ya Kenya, sijajua timu ipi imeshinda.
 
Tunashukuru sana! Jirani zetu hawajashiriki mashindano ya kimataifa miaka kadhaa sasa wanaona wivu.

Hahahaaa, wivu na hasira juu.Sijui wake zao na hawa jamaa wana hali gani huko majumbani! Naona kosa dogo tu mtu anatoa kipondo kikali..lol
 
Na kesho lazima wafungwe na Prison
 
Mtakutana na Platinum ya Zimbabwe au Sofapaka ya Kenya, sijajua timu ipi imeshinda.

Mkuu Masuke nashukuru kwa taarifa. Najua haya mambo sasa yanatuleta km taifa. Mkuu Masuke, kwa tafiti ndogo iliyofanyika na wataalamu niwajuao Mimi ni kuwa sasa toka rasimu ya Mhe Jaji J S Warioba ichakachiluliwe na akina Mama Asha Bakari na Asumpta Mshama, Watanganyika na Wazanzibari wanajielewa mbayaaaaaaa. Mfano ni huu wa watz wote bila kujali usimba kuwapa sapoti Yanga. Huo ndo utaifa uliosemwa na Jaji Warioba. Nimeongea kwa furaha.
 
Hongereni Yanga. Maana ingekua aibu mno kwetu watz kutolewa na katimu ka nchi isiyokuwa na historia ya mpira.
 
Simba na Yanga utaifa unatoka wapi? Na jana mna bahati wale jamaa wangecheza vizuri toka mwanzo na kuacha rafu za kijinga sa hivi mji ungekuwa umetulia.
 
Hongereni Yanga. Maana ingekua aibu mno kwetu watz kutolewa na katimu ka nchi isiyokuwa na historia ya mpira.

Angalia kwenye fifa ranking wewe sio story za vijiweni
 
Back
Top Bottom