Pia nami nataka kujua jinc ya kupost STATUS hapa JF.
Kalale wewe una usingizi wala sio bure!!Yanga wapigwe tu,watatia aibu huko Mbele ni wakikukutana Na waarabu.
Botswana 19.30pmHii mechi inaanza saa ngapi?
Botswana 19.30pm
Tz 20.30pm
Mkuu@Yahoo, habari kama hizi za kudanganya wanajukwaa si nzuri.