Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mfungwe tu mnaongea mno mno mpaka mnaudhi
...wanaofungwa wapo Segerea, Ukonga na Keko
mfungwe tu mnaongea mno mno mpaka mnaudhi
Adui muombee njaa. Potiii piga Ndala hao.
Vipi Mipango Yenu Ya Kujinasua Kushuka Daraja Imekamilika?mfungwe tu mnaongea mno mno mpaka mnaudhi
Kila la heri yanga. Ila yanga inabidi waweke ulinzi kwenye hotel yao maana watswana ni visu balaaaaa.
Mechi ni 20:00 EAT (2 Usiku)
Huyo Kumwembe huo muda kachemka...
Na tutaongea sana mwaka huu, Ngoja kwanza timu yenu ishuke daraja ndo mtakoma kudadek zenu simba koko, mikia mirefu, wakulima wa bunju, mambumbumbu, Walala hoi wa kariakoo.
Vipi Mipango Yenu Ya Kujinasua Kushuka Daraja Imekamilika?