Kombe la Shirikisho Afrika: BDF XI vs Yanga [27 Feb 2014]

Kombe la Shirikisho Afrika: BDF XI vs Yanga [27 Feb 2014]

Yanga piga ao wajeda 2-0 bila wakafanye ulinzi wa taifa lao,mpira c kazi yao!!
 
mfungwe tu mnaongea mno mno mpaka mnaudhi

Na tutaongea sana mwaka huu, Ngoja kwanza timu yenu ishuke daraja ndo mtakoma kudadek zenu simba koko, mikia mirefu, wakulima wa bunju, mambumbumbu, Walala hoi wa kariakoo.
 
Mechi ni 20:00 EAT (2 Usiku)

Huyo Kumwembe huo muda kachemka...

Kila Mtu Anajua Muda Wake Kutokana Na Vyanzo Vya Habari! Ila Saa 20:00 Usiku Ndo Muda Sahihi.
 
Na tutaongea sana mwaka huu, Ngoja kwanza timu yenu ishuke daraja ndo mtakoma kudadek zenu simba koko, mikia mirefu, wakulima wa bunju, mambumbumbu, Walala hoi wa kariakoo.

usikalili mkuu siyo kila mtu simba na yanga
 
Yanga nakupenda kwa moyo wote, kila la kheri tunaomba mtuendelezee furaha yetu, wana wa Jangwani.
Mungu ibariki Yanga,
Mungi ibariki Tanzania,
Mungu ibariki Afrika.
 
Hivi kwanini TBC wasimuuzie Rostam?

Huwa sielewi hii TV either ni ya CCM au ni ya Taifa! Utakuta mechi ya Taifa Stars vs Rwanda hawaoneshi! CCM 38 masaa 12 LIVE!

Huyo Shabani Kisu, Juma Nkamia, nk hawajui posho, mishara na pesheni zao wanatugemea sie wananzengo!

Isitoshe TBC wana matangazo mengi, ruzuku kutoka serikalini na mishara tunawalipa sisi. Watashindwaje kuwa na uzalendo kwa Taifa lao?
UBC wanaweza kwanini TBC washindwe?

Kila la kheri YANGA.
 
Kichwa Habari Mmekiona nataka kujuwa huo mtanange unapigwa muda gani kwa saa za kwetu Afrika mashariki ili nijuwe nitajianda muda gani kwa saa za kwetu huku Afrika ya kati. Mwenye Ratiba ya muda wa kick off atupie
 
Back
Top Bottom