mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Ibariki Tanzania Prisons pia ili itoe sare na 'Shimba', amen.
daah! bado huionei huruma simba mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ibariki Tanzania Prisons pia ili itoe sare na 'Shimba', amen.
Amen....Tuombe.... Baba yetu uliye mbinguni ibariki Yanga leo, ibariki pia Azam kesho kule Ethiopia. Mungu wetu ibariki TFF, tubariki na watanzania wote kwa ujumla. Wote humu jf tuseme Ameen.... !
hawa bdf walivyo vibonde hata akicheza na stand atafungwa tuu
Yanga sio kamamikia iliyo zoea kupigwa na mateja wa stand.mfungwe tu mnaongea mno mno mpaka mnaudhi
Hawa Watswana bure kabisa, hivi huko Botswana ndo wanakotokea Makhirikhiri?
Yanga sio kamamikia iliyo zoea kupigwa na mateja wa stand.
daah! bado huionei huruma simba mkuu?
Mkuu stand unawaona wachovu siyo...walicheza dk 100 na wakaibuka na ushindi dhidi ya timu dhaifu
Ndo maana wanacheza kimakhirikhiri.Ndiyo Makhirikhiri wanatokea Botswana Masuke.
Kila la kheri Prisons dhidi ya mikia aka paka... hapo kesho!!!