Kombe la Shirikisho Afrika | CD DE Agosto Vs Namungo FC, Uwanja wa Azam Complex

Kwahiyo Namungo kashinda Ugenin Goli 6, hivyo JW ya Angola aka Agosto wanatakiwa kushinda gemu ijayo Goli 4 bila majibu ili waweze kusongambele. Natamani Namungo waende kuchezea Ruangwa kabisaaa ili wawanyooshe vzurri ***** zao
 
washinde goli 5, maana tayar hapo kwa aggregate ni agosto 2 na namungo 6 (+1 la ugenini)
 
Ili kuiepusha nchi na aibu kimataifa nashauri namungo wapewe nafasi msimu ujao kuiwakilisha nchi confederation hata wasipobeba FA. Simba nafasi ipo pale pale. Uzalendo kwa nchi kwanza
Sasa hivi wanataka kumbeba upotolo eti kama mtunatachukua vpl na kombe la shirikisho mshindi wa pili wa vpl ndio awakilishe, Tff wanaangalia ushabiki kuliko uwezo wa timu husika
 
Ili kuiepusha nchi na aibu kimataifa nashauri namungo wapewe nafasi msimu ujao kuiwakilisha nchi confederation hata wasipobeba FA. Simba nafasi ipo pale pale. Uzalendo kwa nchi kwanza

Hata mimi nilikuwa nafikiria hivi hivi, Namungo wameonesha ari ya juu ktk upambanaji, uwezo na kuendelea kuipaisha bendera ya nchi yetu kimataifa
Hatimaye sasa tunaendelea kukusanya points zitakazoliwezesha nchi yetu kuingiza timu nne msimu ujao na hata miwili ijayi

TFF wapeni nafasi maalum ya upendeleo hawa Namungo the next season
 
Naunga mkono hoja.
 
Lkn pia tutoe shukrani mwa timu ya Roho mbaya kwa kuhakikisha Wachezaji wa Agosto watano wa Kikosi cha kwanza Wanakutwa na Corona na kutupwa Carantini. Wao waliweka Karantini Watatu, Sie tumetia 6 yaani Safu ya Ulinzi yote kuanzia kwa Golikipa hadi Beki 5 jumlisha na Mratibu wa Timu wooote tumewatia Karantini kwa gharama zao. Naaaamini wataenda kusimulia kwao na siku nyingine watawaheshimu Watanzania mnooo.
 
Tumewashikisha adabu mkuu🀣🀣
 
Sasa hivi wanataka kumbeba upotolo eti kama mtunatachukua vpl na kombe la shirikisho mshindi wa pili wa vpl ndio awakilishe, Tff wanaangalia ushabiki kuliko uwezo wa timu husika
Iliwahi kutokea nyuma uto alikuwa hastahili kucheza cecafa kutokana na alivyomaliza ligi nafasi ya 3/4, tff waliwatafutia uto nafasi ya kushiriki kwa lazima (nadhani aliyestahili alikuwa Azam). Wameshajua vpl hawabebi na FA hawabebi ila nafasi ya 2 wanaweza kuipata ndio maana wanaanza kuandaliwa mazingira mapema wa pili vpl apande ndege
 
Hapo wachezaji wengine wamezuiliwa Angola kwa Corona, halafu Charles Manyama sijui alikuwa anafikiria nini haoni mwenzake Lusajo kajirudi
Ruvu shooting walifika dau zuri la mshahara na usajili , na huu ulikuwa ujinga wa Namungo kwasbb Manyama alibakiza miezi michache kabla mkataba kuisha na Namungo wakawa wanasuasua kumuongeza mpunga aliohitaji
 
Agosto wamepigwa kipigo cha Covid-19.
Si walizuia timu yangu ya Namungo kwasababu ya Corona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…