Kombe la Shirikisho Afrika | CD DE Agosto Vs Namungo FC, Uwanja wa Azam Complex


Safi sanaaa

Ile hali ya huruma huruma na kuwakarimu wageni wanapokuja nchini tuliyokuwa nayo miaka ya nyuma sasa haipo tena,, ukitufanyia figisu kwako basi ujue hatukuachi salama utakapokuja nchi kwetu
 
Hapo wachezaji wengine wamezuiliwa Angola kwa Corona, halafu Charles Manyama sijui alikuwa anafikiria nini haoni mwenzake Lusajo kajirudi
Yule dogo sijui ana akili gani anatoka Namungo iliyoko Kweye mashindano ya kimataifa anaenda kujiunga na timu ambayo haina malengo ya kufika popote zaidi ya kukamia mechi na mtibwa tu.

Ujinga ni mzigo
 
Kaka! Kweli hii?

Aisee inamaana quarantine kwa Tanzania imeanza na CD de Agosto! 😃
 
Kwahiyo Namungo kashinda Ugenin Goli 6, hivyo JW ya Angola aka Agosto wanatakiwa kushinda gemu ijayo Goli 4 bila majibu ili waweze kusongambele. Natamani Namungo waende kuchezea Ruangwa kabisaaa ili wawanyooshe vzurri ***** zao
Anatakiwa kushinda 5 - 0 ili avuke na sio 4 - 0.
 
Msimu ujuo tufanye kila tunaloweza utopolo asiguse mashindano ya kimataifa, atachelewesha nchi kujipatia ufanisi kwenye eneo hilo.
Utopolo mtusamehe, jipangani kwanza miaka minne au mitano ijayo mtashiriki
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kamati ya roho mbaya imefanya kazi yake ipasavyo
 
Ndo uache tabia ya kutaja kiungo ulichokigusa wakati unatoka kwenye uterus.
Uache pia kuifananisha Simba na timu za ajabu ajabu, after all hakuna kipya kwenye via vya uzazi.

Na sio kila mtu alipitia njia ya Uke wengine Ceasarean Section Ilihusika.
 
Yule dogo sijui ana akili gani anatoka Namungo iliyoko Kweye mashindano ya kimataifa anaenda kujiunga na timu ambayo haina malengo ya kufika popote zaidi ya kukamia mechi na mtibwa tu.

Ujinga ni mzigo
Mzee huko namungo mshahara hakuna unategemea nini?
 
21 February 2021
Dar es Salaam, Tanzania

CD 1o de Agosto beaten 2- 6 by Namungo FC

The CD 1o de Agosto lost by an impressive margin 2-6 against Namungo FC of Tanzania, in an important stage that can take them to group stage of the Confederation Cup football.

The match played at Chamazi stadium, the Angolan representative succumbed to opponent's pressing game, in a match which CD Agosto played without their 5 first eleven key players, allegedly for having tested positive for the Covid-19 test.

1º de Agosto goleado na Tanzânia
21-02-2021 | Fonte: Angop

O 1.º de Agosto perdeu neste domingo por expressivos 2-6 diante do Namungo FC da Tanzânia, em jogo referentes à última eliminatória de acesso à fase de grupos da Taça da Confederação em futebol.
Disputado no estádio Chamazi, o representante angolano sucumbiu ante ao jogo ofensivo do adversário, numa partida em que se apresentou sem cinco jogadores influentes, alegadamente por terem acusado positivo ao teste da Covid -19.
As entidades tanzanianas comunicaram a existência de seis casos, o guarda-redes Neblú, os centrais Bobó e Boni, o médio Mário, o avançado Mabululu e o Coordenador da equipa, Untonesa Sampaio.
A jogar sob protesto, o 1.° de Agosto alinhou com o seguinte onze: Toni, Isaac, Jó, Macaia, Paizo, Buá, Herenilson, Edmilson, Mongo, Moya e Zine.
Por força da decisão do Comité de Competições da CAF, após o cancelamento da partida da primeira mão, que devia disputar-se dia 14 último no estádio 11 de Novembro, em Luanda, os “militares” foram obrigados a jogar as duas partidas da eliminatória no reduto do Namungo FC.
Naquela ocasião, quatro ajogadores da equipa tanzaniana acusaram positivo.
Assim, a segunda mão disputa-se na próxima quarta-feira, no mesmo estádio.
Source : 1º de Agosto goleado na Tanzânia - ANGONOTÍCIAS
 

Safi sana!!
 
21 February 2021
Dar es Salaam, Tanzania

Dr Virgílio fala dos 5 jogadores com suposto teste positivo de Covid - 19



Source: 1o de Agosto
 
Ili kuiepusha nchi na aibu kimataifa nashauri namungo wapewe nafasi msimu ujao kuiwakilisha nchi confederation hata wasipobeba FA. Simba nafasi ipo pale pale. Uzalendo kwa nchi kwanza
Kaka wanafuata Kanuni za Mashindano ambazo zinahitaji washindi wanne wa mwanzo Kwenye VPL waende CAFCL au mshindi wa pili aende CAFCC endapo Bingwa atabeba makombe yote mawili ya Ligi na FA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…