Kama wachezaji wa kimataifa wa Angola ni akina Calinhos unategemea club zao zitakua na hali gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91].
Kongole kwao Namungo.
Yule dogo sijui ana akili gani anatoka Namungo iliyoko Kweye mashindano ya kimataifa anaenda kujiunga na timu ambayo haina malengo ya kufika popote zaidi ya kukamia mechi na mtibwa tu.