Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Agosto wamekataa isionyeshwe. Si unajua Agosto ndiyo mwenyeji kwenye mchezo wa leoHivi Azam TV kwanini wameikacha hii game?
Wageni ndio wenyeji kwenye mechi hii, wamekataa isioneshwe live.Mbona hamsemi inaonyeshwa channel gani? ..haya tazameni pele yenu mfaidi..waafrika bana!
Haya ya kweli au?!Namungo 4-2
Naona CAF kuanzia msimu ujao inaanzisha kituo cha urushaji matangazo, hivyo mechi zote zitaoneshwa kama moja ya vigezo vya kushiriki.Wageni ndio wenyeji kwenye mechi hii, wamekataa isioneshwe live.
Safi sana. Corona inatubeba sana.Goooooooooal
Sixtus Sabilooooo anahesabu bao la Nne
Cd de Agosto 2-4 Namungo FC
Hii itapendeza, hizi figisu za kijinga ziishe kabisa, Simba kule Nigeria nao walifanyiwa visa.Naona CAF kuanzia msimu ujao inaanzisha kituo cha urushaji matangazo, hivyo mechi zote zitaoneshwa kama moja ya vigezo vya kushiriki.
Aseeh nikitoka nikirudi goliGoals 5 uko