GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
Timu ya soka ya Yanga leo imefanikiwa kupata ushindi wake wa kwanza katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika baada ya kuwachabanga waarabu wa USM Alger ya Algeria kwa magoli 2-1
Yanga ikicheza mbele ya aliyekuwa Mwenyekiti wao bilionea Yusuph Manji, Yanga ilikwenda mapumziko ikiongoza kwa goli moja lililofungwa na Deus Kaseke
Kipindi cha pili kilipoanza Yanga waliongeza goli la pili lililofungwa na mshambuliaji wao hatari wa kimataifa kutoka nchini Congo, Haritier Makambo
USM Alger walipata goli la kufutia machozi katika dakika ya 52
-------------------------------------
Baada ya kusambaza vipigo kwa team zote Ilizokutana nazo huko Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya kukutana na waarabu roho mbaya. Sasa yanga imetangaza kiama kwa timu ya kiarabu leo Taifa
Kipigo itakachotoa ni cha paka mwizi.yanga wamewafugia hasira waarabu hawa kwa musa mrefu na leo wanakuja kuziachilia.
Kikosi cha Yanga kitakachofanya mauaji ya kutisha leo Taifa. Jamani njooni...msiache kipigo cha leo kitakuwa cha kuweka rekodi.
1. Beno Kakolanya
2. Juma Abdul
3. Gadiel Michael
4. Andrew Vincent
5. Kelvin Yondani
6. Abdallah Shaibu
7. Pius Buswita
8. Papy Kabamba
9. Heritier Makambo
10. Rafael Daud
11. Deus Kaseke
Kikosi cha akiba
12. Ramadhan Kabwili
13. Said Makapu
14. Haji Mwinyi
15. Ibrahim Ajibu
16. Thabn Kamusoko
17. Juma Mahadhi
18. Amis Tambwe
Yanga 2- USM Alger 1