CAF CHAMPION LEAGUE CUP 2018 RESULTS:Kabisa Mkuu, mpk waarabu wanaita msuva,msuva ,dogo yuko vzr,anapita njia ya samata
Sent using Jamii Forums mobile app
DHJ Difaa Hassani Jdidi vs Mouloudia Club d'Alger match
DHJ 2 : MCA 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CAF CHAMPION LEAGUE CUP 2018 RESULTS:Kabisa Mkuu, mpk waarabu wanaita msuva,msuva ,dogo yuko vzr,anapita njia ya samata
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali Kaka wa Mie yashapita hayo na Utani hasa wa jadi una mambo yake ambayo hayakwepeki.Basi ukhti yaishe 😀😀😀
Eid Mubarak!
Usijali Kaka wa Mie yashapita hayo na Utani hasa wa jadi una mambo yake ambayo hayakwepeki.
Minal faidhina. Karibu kwetu Kaka.
Amiin Insha Allah Kaka. Nawe pia.Hahaa nikweli Hajar! Shukran,Allah azidi kukupa imaan...
Amiin Insha Allah Kaka. Nawe pia.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
HahaLabda wewe na Magufuli ndio hampendi wanachokifanya hapa leo timu ya Wananchi Dar Young Africans.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ila bado ninyi ndo mikia kwenye group MkuuUshindwe na ulegee...na ole wenu mumpakazie tena kesi kanjibai wetu ....tunawaroga nyinyi nyote mfyuuuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante Mkuu hawa jamaa baada ya kufunga magoli ya Offside huku mtaan ni tabu kabisa,na majez yao kama CCM[emoji35]Pole sana mkuu. Jifunze kupikea maumivu na kuyavumilia. Hii ndio yanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama yalikua magoli ya offside ungepiga filimbi kuyakataa. Otherwise pikea tena pole yangu.Ahsante Mkuu hawa jamaa baada ya kufunga magoli ya Offside huku mtaan ni tabu kabisa,na majez yao kama CCM[emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa MkuuMkuu kama yalikua magoli ya offside ungepiga filimbi kuyakataa. Otherwise pikea tena pole yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! 1973? Ukiwa na umri gani?!Mkuu sifanyi na sitoidhihaki Yanga kamwe.Tokea 1973 naishabikia.