Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Msuva anakimbiza kweli huko, ndio utaona sasa maana ki bongo bongo alikua anaonekana kama mchezaji wa kawaida tu!Ebana huyu Dogo anawabeba sana hawa el jadida ktk hii orange champion league
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa Mkuu, mpk waarabu wanaita msuva,msuva ,dogo yuko vzr,anapita njia ya samataMsuva anakimbiza kweli huko, ndio utaona sasa maana ki bongo bongo alikua anaonekana kama mchezaji wa kawaida tu!
Hahahaaa. Ndioooo.Kwahiyo Mwarabu kapakatwa!?
Hivi mna point ngapi kwenye kundi na mpo nafasi ya ngapiHahahaaa. Ndioooo.
Nipo Yanga Kaka yangu mieeee.Dada Hajar kumbe na wewe upo yanga?
Hahaaa. LolHivi mna point ngapi kwenye kundi na mpo nafasi ya ngapi
Ni swali rahisi tu kwa shabiki kindakindakiHahaaa. Lol
Mbona unataka tutoke nje ya uzi sasa Mtoto? [emoji23][emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kwani ni swali gumu. Si swali gumu ila linajibika likiwa kwenye uzi wake Maalum.Ni swali rahisi tu kwa shabiki kindakindaki
[emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kwani ni swali gumu. Si swali gumu ila linajibika likiwa kwenye uzi wake Maalum.
Nipo Yanga Kaka yangu mieeee.
Nimekuona sehemu umetupa dongo la kufa mtu ikabidi nipite kimya kimya tu kama sijaguswa na dongo lako. ๐๐๐๐๐๐
Ndio Kaka niliona. [emoji23] [emoji23]Hahahaa umeona ๐๐๐๐
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Wamewaotea tu,,sindiyo hawa yebo yebo walifungwa goli 4!! Au sio wenyewe!
Leo ni Eid Mubarak ?Ndio Kaka niliona. [emoji23] [emoji23]
Eid Mubarak in Advance.
Hapana ni Kesho Mtani.
Sawa ,mie sijui lolote na hivi hanihusu ndio kbsHapana ni Kesho Mtani.
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Ndio Kaka niliona. [emoji23] [emoji23]
Eid Mubarak in Advance.