Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu nilipoona kikosi kitakachoanza nilijua tu tunachezea kifiro..Dida,kichuya,zana,salamba na kocha wamezingua sana hii game
Ushabiki unatupoteza mkuu. Watu wanachukulia mpira kama vita.Kufurahi kwako kusikufikishe huko..hujafa hujaumbika, halafu nimeangalia Avatar yako..Yaonyesha una chuki naye sana
Ligi tunabeba na Yanga hawataamini kabisa.
Natunza muda
acha maneno mengi mshapigwa.Kipigo Cha Leo sio habari nzuri kwa Timu ya matopeni nashangaa wanafurahia maana Moto tunauamisha kwenye TPL na wenyewe wanajua wana point zetu tatu mechi ya marudiano...shabiki anaejua mpira angependa Simba aendelee mbele ili ratiba za TPL,CAF,FA ,Mapinduz zimbane ila Kama tumetema mzigo huku "Nguvu moja"tunahamishia TPL Bora punda afe mzigo wa wa watu ufike...ni habari njema pia Mashabiki wa Mnyama kwani siye dhumuni letu nikuwakilisha nchi kwenye Klabu bingwa kwa miaka mi 5 mfululizo na ili uwakilishe lazime uchukue ligi...TPL ndio first priority yetu"Nguvu moja"
Hii pia iko poa,Nyani kaua simbaView attachment 978146
Ana maneno machafu sana yule jamaa yenu.. Na ndio anafanya watu wamtukane hata kwenye page yake ya instagramNdugu yangu ni kweli yeye ni msema ovyo na hana sifa za kuwa kiongozi wa soka, lakini tafadhali usihusishe suala la ulemavu..tujadili soka na siyo ulemavu...yeye hakupenda kuwa mlemavu...ni mapenzi ya Mwenyezi Mungu...tuache mambo ya ulemavu, sura, kabila, rangi na kadhalika...tujadili soka tu..
You can say that again?Simba hii kuiangalia inaongeza afya mwilini[emoji1]
Hivi ule utaratibu wa kulipia mechi msimu mzima bongo hakuna?
Yule chama hakuwemo kwenye kikosiSimba watapindua Meza, wana 2 za ugenini, mashujaa watakoma wakija mechi ya marudiano.
Kikosi ni kipana.
Kwani Manara siyo zeruzeru?Ndugu yangu ni kweli yeye ni msema ovyo na hana sifa za kuwa kiongozi wa soka, lakini tafadhali usihusishe suala la ulemavu..tujadili soka na siyo ulemavu...yeye hakupenda kuwa mlemavu...ni mapenzi ya Mwenyezi Mungu...tuache mambo ya ulemavu, sura, kabila, rangi na kadhalika...tujadili soka tu..
Kwa asili jina zeruzeru ilikuwa ni dharau au tusi na haikuwa na maana ya rangi ya ngozi moja kwa moja. Na hiyo ilitokana na uelewa mdogo wa Watanzania wakati ule sababu za kwa nini Mtu anazaliwa albino.Kwani Manara siyo zeruzeru?
unadhani kila siku ..refa atakuwa mkenyaI understand. Simba timu kubwa sana. Level yao sio kucheza na Mashujaa. Level yao ni timu kama Al Aly, Esperance, TP Mazembe, Libolo, Asec Mimosa nk.
It was just a minor slip.