DAKA MTUMBA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,288
- 801
Wafungaji akina nani ?Dk ya 85:Yanga2-0Reha.
Cheki juuWafungaji akina nani ?
Atajijuu majibu yake y'a kike
Hahahaha christmas imekua tamu sanaGoli la Buswita unachukulia mkopo taasisi yoyote ile ya kifedha kiufupi ni kama alofunga Rooney Dar es Salaam dhid ya Gor mahia
[emoji1] [emoji1] [emoji1] eti jamaa wa bunju wanaojenga uwanja kwa mapanga na shokaWalibana sana lakini mwishowe wakaachia! Jamaa wa Bunju walidhani yatatukuta kama wao
Nasikia walishaanza kutumia kwa mazoezi[emoji1] [emoji1] [emoji1] eti jamaa wa bunju wanaojenga uwanja kwa mapanga na shoka
Huyu mtu ana akili sana kichwani mwake,,,,,Simba waliuza AK47 wakinunua fimboAmisi Tambwe kafunga kwa kichwa, cjui kuna nini kichwani kwake huyu jamaa