Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Si Afadhali fimbo. Walinunua bua la mtama.Huyu mtu ana akili sana kichwani mwake,,,,,Simba waliuza AK47 wakinunua fimbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si Afadhali fimbo. Walinunua bua la mtama.Huyu mtu ana akili sana kichwani mwake,,,,,Simba waliuza AK47 wakinunua fimbo
Kati ya Wachezaji ambao hawastahili kuwapo pale Yanga ni pamoja na Yusufu Mhilu. Ana uwezo mdogo sana, na amekuwa akipewa nafasi mara kadhaa lakin ameshindwa kutuonesha wana Yanga kile kilichopo mguuni mwake.Kuna dogo Yusuf Mhilu hapaswi kucheza kwa muda mrefu anawahi kuchoka mapema cjui kwann Nsajigwa hakumpanga Mahadhi nafasi ya mhilu
Kama sikosei Walimuacha Tambwe wakamsajili Okwi. Mikia wana biashara ya hasara siku zote.Si Afadhali fimbo. Walinunua bua la mtama.
Aisee huyo maadhi ndiyo kabisa hamna kitu ni bora ya Mhilu mara 100Kuna dogo Yusuf Mhilu hapaswi kucheza kwa muda mrefu anawahi kuchoka mapema cjui kwann Nsajigwa hakumpanga Mahadhi nafasi ya mhilu
Yaani watu ambao mm siwapendi pale yanga ni pamoja na hilo Limahadhi. Mahadhi, Mhilu wote wangeachwa tu hawana jipya pale Yanga.Aisee huyo maadhi ndiyo kabisa hamna kitu ni bora ya Mhilu mara 100
Kama dogo Said ameingia akaonesha yuko vizuri natumai hata Y.Mkomola nae atakuwa bora zaid na atatufaaaYaani watu ambao mm siwapendi pale yanga ni pamoja na hilo Limahadhi. Mahadhi, Mhilu wote wangeachwa tu hawana jipya pale Yanga.
Yaah Ni sahihi, Said Mussa alipoingia aliongeza uhai wa timu katika kushambulia, ila huyu Mhilu perfomance yake wala siielewiKama dogo Said ameingia akaonesha yuko vizuri natumai hata Y.Mkomola nae atakuwa bora zaid na atatufaaa
Hapana, walimuacha Tambwe, wakamsajili Danny Serunkuma, n'a sijui aliishia wapi huyu mtuKama sikosei Walimuacha Tambwe wakamsajili Okwi. Mikia wana biashara ya hasara siku zote.
Mhilu mzuri kama akipunguza panic kama mwashuyaKuna dogo Yusuf Mhilu hapaswi kucheza kwa muda mrefu anawahi kuchoka mapema cjui kwann Nsajigwa hakumpanga Mahadhi nafasi ya mhilu