Kombe la shirikisho la Azam,Yanga vs Reha!

Kuna dogo Yusuf Mhilu hapaswi kucheza kwa muda mrefu anawahi kuchoka mapema cjui kwann Nsajigwa hakumpanga Mahadhi nafasi ya mhilu
Kati ya Wachezaji ambao hawastahili kuwapo pale Yanga ni pamoja na Yusufu Mhilu. Ana uwezo mdogo sana, na amekuwa akipewa nafasi mara kadhaa lakin ameshindwa kutuonesha wana Yanga kile kilichopo mguuni mwake.
Dirisha dogo alistahili kuacha huyu dogo. Sioni kama atakuja kutusaidia hapo mbeleni.
 
Kuna dogo Yusuf Mhilu hapaswi kucheza kwa muda mrefu anawahi kuchoka mapema cjui kwann Nsajigwa hakumpanga Mahadhi nafasi ya mhilu
Aisee huyo maadhi ndiyo kabisa hamna kitu ni bora ya Mhilu mara 100
 
Yaani watu ambao mm siwapendi pale yanga ni pamoja na hilo Limahadhi. Mahadhi, Mhilu wote wangeachwa tu hawana jipya pale Yanga.
 
Kama dogo Said ameingia akaonesha yuko vizuri natumai hata Y.Mkomola nae atakuwa bora zaid na atatufaaa
 
Yaah Ni sahihi, Said Mussa alipoingia aliongeza uhai wa timu katika kushambulia, ila huyu Mhilu perfomance yake wala siielewi
 
Kuna dogo Yusuf Mhilu hapaswi kucheza kwa muda mrefu anawahi kuchoka mapema cjui kwann Nsajigwa hakumpanga Mahadhi nafasi ya mhilu
Mhilu mzuri kama akipunguza panic kama mwashuya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…