Aje. Tutampa kazi ya kugawa maji ya kunywa kwa wachezaji wetu.
ndio muda mzuri wa viongozi wa simba kudai pesa za okwi kwa hao warabu kama ni kweli hawajalipwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aje. Tutampa kazi ya kugawa maji ya kunywa kwa wachezaji wetu.
Mashuti upande wa timu zote mbili
Yanga
On target 1
Off target 2
ES Sahel
On target 8
Off target 11
Mimi ni mtanzania lakini nasema YANGA WAPIGWE TU...uzalendo nitakuwa nao kwenye taifa starz...
Niko hoi kama nacheza...duuh!!
Gooaal tumepigwa
Etoil du sahel INA mashabiki wengi sana
Na mkome!! hawa waarabu dawa yao ipo kule msimbazi, jangwani bado sana...