Kombe la Shirikisho Live: Yanga Afrika vs Etoile du Sahel

Kwa mchezo unavyokwenda, Yanga wakifungwa hapa Dar goli 3-1 watashukuru Mungu
 
hivi yanga tuna akili kweli cha kukataa mamilioni ya pesa kisa game isirushwevni ufalaaaaaaa tu watu tunataka burudani wao maslahii ny...k
 
Kwa jinsi TBC wanavoonesha mpira(urushaji wa matangazo yao), watasubiri saana kwa azam tv!
 
Bila kupata wachezaji wewe miili mikubwa kama ya akina FRANCIS CHEKA tutabaki hivi hivi milele!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…