Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Radio gani online wanatangaza mechi?
TBC Taifa lakini wanatangaza Taifa na Mbeya kwa pamoja
wachezaji wa yanga wengi wafupi
Ngoja nicheki,thanks
Mikia wamesha chapwa 1 huko mbeya
TBC Taifa lakini wanatangaza gemu ya Taifa na Mbeya kwa pamoja.
http://www.tbc.go.tz/listentbcTaifa/
Na Simba washachezea kidude kimoja huko...
Aloooo kiukweli hawa jamaa hatuwawezi, kwanza wana miili iliyoshiba na kasi ya hataree!
kwao tutayaoga