hii itasaidia kupunguza maumivu na kuleta heshima mtaani na jukwaani...
Huyu kocha wa yanga atimuliwe ,hakuna kitu pale
tukishindwa mwaka huu mwakani.tupo tena nyie mikia fc hadi ipite miaka mitano hivi
Hawa waarabu hatuwawezi na timu yetu ya taifa tumepangwa nao.
Hivi ni kwanini mechi ya kwanza lazima tuanzie nyumbani na kumalizia ugenini?
MUNGU ibariki Tanzania,
MUNGU ibariki Yanga Africa.
tukishindwa mwaka huu mwakani.tupo tena nyie mikia fc hadi ipite miaka mitano hivi
Sisi tukiingia huwa tunashindana, nyie mtaemdelea kushiriki na mwakani pia.
mkuu misri wanacheza mpira wa ulaya,mpira wa misri haufanani na wa africa,misri watatupiga kwetu na kwao,misri wana mchezo wao wa kipekee africa.Hawa Watunisia mkuu, tuliopangwa nao ni Wamisri...
Kidogo Wamisri wamepungua kiwango baada ya vilabu vyao kuyumba wakati ule wa machafuko huko kwao...
Vp Mbeya huko?
Wakishinda watasumbua
Mimi nipo Azam
huko mbeya city 1-0 mikia fc
mkuu misri wanacheza mpira wa ulaya,mpira wa misri haufanani na wa africa,misri watatupiga kwetu na kwao,misri wana mchezo wao wa kipekee africa.