Kombe la Shirikisho Live: Yanga Afrika vs Etoile du Sahel

Kombe la Shirikisho Live: Yanga Afrika vs Etoile du Sahel

Hawa waarabu hatuwawezi na timu yetu ya taifa tumepangwa nao.

Hawa Watunisia mkuu, tuliopangwa nao ni Wamisri...

Kidogo Wamisri wamepungua kiwango baada ya vilabu vyao kuyumba wakati ule wa machafuko huko kwao...
 
Hivi ni kwanini mechi ya kwanza lazima tuanzie nyumbani na kumalizia ugenini?
MUNGU ibariki Tanzania,
MUNGU ibariki Yanga Africa.

Kaka mie nliuliza ilo swali miaka kibao sipati jibu hivi wanatumia vihezo gani hawa waarabu laIma waanze ugenini au sababu CAF ni yao....pumbaav***
 
humu redioni Ngasa anatajwa kila baada ya dk 5,utasikia ngasa,ngasa,ngasa,ngasa,ngasa...........hivi ndo anavyokimbiza au bwembwe za watangazaji
 
Hawa Watunisia mkuu, tuliopangwa nao ni Wamisri...

Kidogo Wamisri wamepungua kiwango baada ya vilabu vyao kuyumba wakati ule wa machafuko huko kwao...
mkuu misri wanacheza mpira wa ulaya,mpira wa misri haufanani na wa africa,misri watatupiga kwetu na kwao,misri wana mchezo wao wa kipekee africa.
 
mkuu misri wanacheza mpira wa ulaya,mpira wa misri haufanani na wa africa,misri watatupiga kwetu na kwao,misri wana mchezo wao wa kipekee africa.

Kama ulitazama qualifications za AFCON last time walikuwa wa kawaida tu...

Mimi nilitazama mechi zao, sio kwamba wanatisha kivile...

Hata hivyo si wa kuwabeza ila tunawaweza...
 
Back
Top Bottom