Mshapigwa huko mbeya
mbona hamuingii sasa?
tunajenga timu na walijua hilo, sio kununua tu maveteran. tuna yosso kama kumi hivi first eleven.
Kuna anayeikumbuka libolo fc
Kuna anayeikumbuka libolo fc
unaikumbuka Raja de Casablanca?
mnatengeneza hadi lin sasa?
Kama ulitazama qualifications za AFCON last time walikuwa wa kawaida tu...
Mimi nilitazama mechi zao, sio kwamba wanatisha kivile...
Hata hivyo si wa kuwabeza ila tunawaweza...
tunajenga timu na walijua hilo, sio kununua tu maveteran. tuna yosso kama kumi hivi first eleven.