Kombe la Shirikisho Live: Yanga Afrika vs Etoile du Sahel

Kombe la Shirikisho Live: Yanga Afrika vs Etoile du Sahel

Yanga wana kazi kwelikweli,,,,,,,,,dakika 4 za nyongeza.
 
Kama ulitazama qualifications za AFCON last time walikuwa wa kawaida tu...

Mimi nilitazama mechi zao, sio kwamba wanatisha kivile...

Hata hivyo si wa kuwabeza ila tunawaweza...

Wana Mpira wa pasi na haraka,halafu wote uwanjani wanajituma,ila tusubiri mambo yanabadilika
 
Kila la heri kwa yanga katika kuupanda huu mlima, sioni kama watavuka.
 
Waarabu walikuwa watafuta goli la ugenini na droo ..
 
'Ma-body' madogo ukanda huu wa mashariki na kati wanawaangusha wachezaji wetu kuwa ma-pro!
 
Back
Top Bottom