Kombe la Shirikisho Live: Yanga Afrika vs Etoile du Sahel

yanga tuonane mwakani , mkamkamilishe ratiba huko muendako kama psg
 
Haya half time sasa kipindi cha pili wiki mbili zijazo, majirani mikia vipi?
 
Gooooooooooooooooooo!!!
MCC 2-0 SIMBA.
 
Raha sana, unamalizia kushabikia watunisia unasikia ushalambwa na mbeya city! kweli watu wanajua kujiliwaza!!!
 
Hawa Watunisia mkuu, tuliopangwa nao ni Wamisri...

Kidogo Wamisri wamepungua kiwango baada ya vilabu vyao kuyumba wakati ule wa machafuko huko kwao...

Te!te!te! Tembo hata akonde vipi hawezi kuwa kama Ndama.!
 

Bora walivyosuluhu amani imerudi.
Wakakamilishe ratiba.
 
Ft:
Mcc 2-0 simba
mwakani hawapandi tena ndege,ni sheeeeeedah!
 
Simba mtapanda boat mkacheze Ndondo cup ZANZIBAR kimataifa mutuachie wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…