Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaikumbuka Raja de Casablanca?
Gooooooooooooooooooo!!!
MCC 2-0 SIMBA.
Duh!!! walau tutapata amani sasa...mji utulie
Faraja pekee itakuwa ni mikia kula goli mbili maana tusingelala.
Hawa Watunisia mkuu, tuliopangwa nao ni Wamisri...
Kidogo Wamisri wamepungua kiwango baada ya vilabu vyao kuyumba wakati ule wa machafuko huko kwao...
Kama kawa leo ndio leo, Wote tuiombee Yanga itutoe kimasomaso.
Updates zote ziwekwe hapa!
Updates:
Full Time Yanga 1 - Etoile 1
Dakika ya 40 Yanga 1 - Etoile 1
Yanga 1 - Etoile 1 {Amour Amine}
Half time : Yanga 1 - Etoile 0
Dakika ya 40 : Yanga 1 - Etoile 0 {Cannavaro dk 1}
Dk 47.
Yanga: 1 - 1 ETOILE DU SAHEL
tupe mwaka au miwili. wakua kabisa timu yetu bado ina "watoto" wengi!