ahmed deedat
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 350
- 210
Kama ulitazama qualifications za AFCON last time walikuwa wa kawaida tu...
Mimi nilitazama mechi zao, sio kwamba wanatisha kivile...
Hata hivyo si wa kuwabeza ila tunawaweza...
Vipi mbeya
Raha sana, unamalizia kushabikia watunisia unasikia ushalambwa na mbeya city! kweli watu wanajua kujiliwaza!!!
Hamna lolote ninyi mikia fc!!! Mmebaki kuiombea mabaya yanga ilihal kwenu mambo yakizidi kudidimia.Mimi nawaombea YANGA watolewe ili tuishi kwa raha mustarehe....maana wakipita hawa tutafuta pa kukaa huku mtaani....
Hamna lolote ninyi mikia fc!!! Mmebaki kuiombea mabaya yanga ilihal kwenu mambo yakizidi kudidimia.
Kwa matokeo hayo yanga imeaga rasmi mashindano hayo.
Na kwa super eagles jee???
naomba msimamo,mana mikia wananisumbua apa
Hakina Ivo Mapunda!
Afadhali
Mtani kimyaaa
Ni miujiza pekee ndiyo itakayoivusha YANGA...
Kama umefuatilia maelezo yangu toka mwanzo utakuwa una kichwa kibovu kama mapunda kwako ni mtoto!
Nesema tuna "watoto" wengi, sijasema wote ni "watoto".
Kama umefuatilia maelezo yangu toka mwanzo utakuwa una kichwa kibovu kama mapunda kwako ni mtoto!
Nesema tuna "watoto" wengi, sijasema wote ni "watoto".
Taja mtoto unayemfahamu pale simba ambae ana umri chini ya miaka 18. halafu kama yupo, kwa nini mlimsajili wakati mnajua kuwa ni mtoto hataweza kuisaidia timu??
Kwani kaka,kina manyika,isiaka,ndemla,kessy,tshabalala,ajibu,wapo sawa kwa umri na kina Joshua,canavaro,yondani,ngasa,niyonzima,twite,na sherman.?
Swala la msingi ni kusema na kukubali kuwa. Wachezaji wa simba wengi hawana hadhi ya kucheza simba na pia hawana uzoefu wa kutosha.