Kombe la Shirikisho Live: Yanga Afrika vs Etoile du Sahel

Taja mtoto unayemfahamu pale simba ambae ana umri chini ya miaka 18. halafu kama yupo, kwa nini mlimsajili wakati mnajua kuwa ni mtoto hataweza kuisaidia timu??

Tulia kwanza!
Kabla ya yote, unajua maana ya " ", au kama nilivyoandika "watoto"? unajua maana yake! Ebu jipange kwanza usianze kubwabwaja!
 
Tulia kwanza!
Kabla ya yote, unajua maana ya " ", au kama nilivyoandika "watoto"? unajua maana yake! Ebu jipange kwanza usianze kubwabwaja!

tumechoka na visingizio vyenu. hao mnaowaita watoto si mliwasajili wenyewe? kwani mlilazimishwa kuwasajili?. kwa nini msisajili wakubwa kama walivyofanya YANGA wakaisadia timu?.. cha msingi ni kukubali kuwa SIMBA NI MBOVU sio kuleta visingizio vya ajabu ajabu ...mjipange tena......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…