WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Hahahaaa! Tuongeze du'a jama.
Leo nina wakati mgumu sana, huku Yanga kule Arsenal!
🙁🙁🙁
Huko pamoja kwenye hilo tuuu!!!
Mpaka sasa tbc 2 sioni kitu
hii mechi si mmesema inaanza saa tisa, mbona TBC2 pakavu???
Mimi pia nashangaa, mliouwanjani tujuzeni, mtanange umeanza????
Labda Azam Two?
Wakuu,game saa kumi,japokuwa kwenye tiketi wameonesha saa tisa.
Twatakiwa kuweka uzalendo kwa watan wetu japo kushinda leo nindoto
Mpaka sasa tbc 2 hawana dalili za kuonesha mpira
Hahahaaa,ujue nimecheka sana! Kwanini hilo tuuu?
Mlioko uwanjani vipi huko gemu ishaanza?
nipo huku dar ili kwenye startimes wamekata hiyo tbc 2. Nataka nilipie hata cha buku 2 ili nicheki game ya leo sijajua utaratibu wa kulipia naomba unijuze