Deogratius n
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 1,193
- 254
usiogope lipia buku(1000) yako tu kupitia m-pesa utaona tv yako sio kwa siku moja i think n 3, ila shida ni kwenye DSTV sijui ntaonea wap
nipe maelekezo jns ya kulipia ninatumia star time
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usiogope lipia buku(1000) yako tu kupitia m-pesa utaona tv yako sio kwa siku moja i think n 3, ila shida ni kwenye DSTV sijui ntaonea wap
Hiki kikosi ni wewe umekipanga au ndicho kitaanza leo?
mkishinda poa, mkipigwa poa...
Jaman TBC 2 watakuwepo uwanjani kuwaletea mtanange Wa kukata na shoka kati ya miamba ya Tanzania Dar young African, YANGA dhidi ya miamba ya Tunisia Etoile du Salehe kuanzia majira ya sasa kumi kamili jion, hii ni kwamujibu Wa kipindi cha michezo asubuhi TBC2. kwa pamoja twaweza YANGA DAIMA mbele nyuma MWIKO
I like your prediction though I prefer mine of Yanga 3-0 ESS
Kaka hiyo taarifa yako ni ya uhakika
nauona mwisho wenu au tuwape okwi..
Hivi tbc2 kuna vifurushi vya siku au wiki nilipie ili niangalie huu mtanange? Kweli nimeona michezo sio kipaumbele ktk nchi. Yani tv ya taifa kuangalia michezo nilipie ten?
Kungekuwa na uwezekano wa kubadilisha makao makuu ya CAF yangebadilishwa kwa maana CAF ipo kwa ajili ya kuzibeba timu za ukanda wa kaskazini-magharibi kwa mfumo wa upangaji wa ratiba yao.
Yanga inaanzia nyumbani ni kutokana sababu za upangwaji ratiba.. mara nyingi si CAF hata UEFA na FIFA ratiba hupangwa kwa kuangaliwa ubora wa viwango vya mpira vya nchi au vilabu husika!..
Ndiyo maana hata UEFA timu kama Madrid, Barcelona au B. Munich lazima zianzie ugenini. So mkubwa anakuwa favoured
Mkuu tbc2 bule mardi uwe na king'amuzi cha startimes
Mpaka sasa goli 2-0...ila la pili ndio limeingia sasahivi..wao watapata goli moja. Tutapata na penati moja sasa hii penati tukifunga tumepeta. Mpira kwa muhtasari ndio huo.
Mkuu tbc2 bule mardi uwe na king'amuzi cha startimes
Lipia kwa mpesa buku 2 wamakupa siku 4
mkuu sio kwel. Tbc2 ni lazima ulipe vifurushi.