Kombe la Shirikisho Live: Yanga Afrika vs Etoile du Sahel

Kombe la Shirikisho Live: Yanga Afrika vs Etoile du Sahel

Nimeshangaa kusikia umati wa mashabiki wakishangilia goli la Tunisia, duh kweli wabongo tuko nyuma sana

Kwani mashabiki wa mancity wanaoshabikiaga manu ikicheza na madrid?
mimi MTANZANIA halisi by birth na ni mweusi, nasema Yanga WAPIGWE TU.
 
Kama kawa leo ndio leo, Wote tuiombee Yanga itutoe kimasomaso.

Updates zote ziwekwe hapa!



Updates:

Halftime : Yanga 1 - Etoile 0

Dakika ya 40 : Yanga 1 - Etoile 0 {Cannavaro dk 1}

Dk 47.
Yanga: 1 - 1 ETOILE DU SAHEL

yanga piga hao ess goli 3 ILI KUJIPA USHINDI
 
Hawa waarabu hatuwawezi na timu yetu ya taifa tumepangwa nao.
 
NGASSA KATIKA UBORA WAKE.
Sherman in-Dilunga out.
 
Back
Top Bottom