chuse Matthaw
Member
- Jul 23, 2016
- 7
- 1
Nanyinyi vipaka aka wa matopeni, mnaujua muziki wa LIBOLO FC 😛Hii kazi huwa tunaiweza Simba,Zamalek wanaijua.Enyimba wanaujua mziki
Ile ya Angola ?Nanyinyi vipaka aka wa matopeni, mnaujua muziki wa LIBOLO FC 😛
Raja casablanca ya Moroko unaijua??Nanyinyi vipaka aka wa matopeni, mnaujua muziki wa LIBOLO FC 😛
umenikumbusha na kile kibwagizo cha miaka ya 90 tulikua tukiimba:Yanga Makopo Yanga Makopo Simba Imara Simba Imara
Hahaha huo ulikuwa ni Noma... Fujo lazima... Kuna Mmoja Tulikuwa Tunamuimba kipa peke yake tu..umenikumbusha na kile kibwagizo cha miaka ya 90 tulikua tukiimba:
yanga kainaama, medeama kam ..... dole
Mkuu, mbona povu? Rudia kusoma comment yangu taratibu then urudi. Attack hoja usiniattack mimi.Kushangalia timu sio dhambi haijalishi ikoje km VP hama nchi pia sbb Tz mbovu shabikia Ureno
Kinachonichoshaga na hizi timu za bongo (Simba, Yanga, Azam na Taifa Stars in general) ni jinsi wanavyokuwaga wanapewa HYPE kwenye vyombo vya habari wakati uwezo wao hata hauvutii kuuangalia kwenye TV. Ninachek mechi ya Yanga hapa mpaka ninawaonea huruma. Wachezaji ninaowasikiaga wanasifiwa hata sioni uwezo wao, muda wote wanaangukaanguka tu (hata ukiangalia maumbo ya wachezaji wa nchi za wenzetu ni makubwa tofauti na wachezaji wetu achilia mbali uwezo). TFF lazima ijiangalie upya wapi wamekosea ili warekebishe. Tunacheza mpira wa hovyo sana na wachezaji hawana afya kabisa, sijui wanafanyaga mazoezi/wanalishwa vitu gani. TZ tumejaliwa mashabiki tu na sio wachezaji (Timu).
WALISTUKIA GOLI NYINGI wakawa wanapoteza muda kiainaNi aibu mkuu, almost muda wote wanaoanguka ni wachezaji wa Yanga tu. Timu pinzani ni nadra sana kuona wamezidiwa nguvu (kuanguka au kuumia). Na hali hii sio kwa Yanga pekee bali ni timu zote za TZ including Taifa Stars. Sijui tumekosea wapi. I think ni mazoezi na diet hafifu pamoja na kulewa sifa.
mbona sasa mmepigwa dole la kati mara 3,badala kubana mmemamuaNanyinyi vipaka aka wa matopeni, mnaujua muziki wa LIBOLO FC 😛